Leo mchana kwenye mida ya saa tisa mchana hivi nikiwa napiga kazi kwa pall nilisikia kelele njee na nilivyo mbea bwana nikatoka nakustop kazi kwanza,kutoka nilikuta kuna jamaa mmoja kwa jina sikuweza kulipata akiwa amepata ajali ya pikipiki na mdada hivi waliumia japo kwa njee tuliona vimchubuko vidogodogo kama unavyoona hapo,mdada aliumia mguuni na jamaa maeneo yamdomo ni hivi,ajali hiyo ilitokea njee ya Pall karibu kabisa na A.A.A BERBAR SHOP(TANKI BOVU)jamani watumia barabara kwa viombo vya moto jaribuni kua makini sana na sana sana nyinyi mnaotumia barabara mbya hii ya TANKI BOVU,kunogewa kwa barabara nzuri kusikufanye ujisahau unakanyagia tuu mafuta matokeo yake ndo kama hayo kuweni makini sana wazazi au vipi……ajali zempe zipungue..
Monday, October 18, 2010
BODA BODA HIZI.......

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment