Wednesday, September 22, 2010

MR NICE ACHAPWA NA KUPIGWA PICHA AKIWA KAMA ALIVYOZALIWA




picha hii ni wiki chache tu zilizopita alipopigwa kabla ya sakata hili utokea
usiku wa kuamkia jana mr nice alipigwa sana na watu waliojitambulisha kama maaskari kutoka kituo cha magomeni wakiwa na Rb ambao walimfata mida ya saa tatu usiku na kumtaka waende nae polisi kwakua wamepokea malalamiko juu yake.lakini njiani wakamwambia wao sio askari na kuanza kumpiga sanaaaaaa na mwisho wakamvua nguo  na kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama na kumtupa maeneo ya temeke saa nane za usiku. mmoja wa waliohusika ambae ni dada wa mpenzi wake ameshakamatwa na yuko chini ya ulinzi..........

No comments: