Wednesday, September 22, 2010

MAMBO YA MWISHO MCHANA WA LEO NDANI YA BBA ...UMEISIKIA HII??

 

Mchana wa leo Mwisho kamtamkia Big Bro kuwa anataka kumuoa Meryl jumamosi hii ya tarehe 25,Big akamuuliza kama ana uhakika kuhusu hiyo ndoa??Mwisho akasema anauhakika na anachokisema.
Big akamuita Meryl kumuuliza aliyoyasema Mwisho yanaukweli,Meryl akasema yeye anataka jumamosi iwe engagement day maana hawawezi kufunga ndoa bila wazazi na ndugu zao kuwepo.Big akamuuliza Meryl anataka nini kwenye hiyo siku akasema hakuna la ziada cha muhimu ni maneno na pete tu.Big akamwambia anampa masaa 24 awe na uhakika wa jambo hilo kesho awe na jibu la uhakika.
Wiki hii Mwisho,Kaone,Meryl na Uti wapo up for eviction...mmoja wao atatoka jumapili hii na kwenda barn house.Mpigie kura Mwisho kwa kuandika Vote Mwisho kwenda 15726

No comments: