Wednesday, September 22, 2010


SHOPPING BASI KWA AJILI YA NGUO ZA NDANI JAMANI MWEE

Yo Guys kuna mwanaume kalalamika sana MPZ Wake ana kichupi kimoja cheusi Daily na kinaanza hadi toka nyuzi na kupauka lakini bado tuu anakivaa..
jamaa anasema yaani anaona kero sana na MPZ Wake anampenda ila ndio hivyo habadili wala hanunui nguo za ndani yeye ni saloon tuu ila akivua nguo ndani utatamani ukimbie kichupi ovyooo..
nimecheka mpaka basi ,sasa anaomba ushauri maana hamwelewi..
ila guys shopping za nguo za ndani muhimu sana , kwani hata laki moja ina wingi gani si mkanunue ..
maana utakuta msichana kajirembaa ila ndani utumbo mtupu ..mnatia aibu hadi mtolewa katika ala za roho ndio mbadilike Huh... ila na nyie wanaume si muwe mnawanunulia wapenzi wenu nguo za ndani nyie vipi..coz wewe ukimnunulia ukampa atakataa kweli???usijishaue kutaka ushauri wakati kumlea mwanamke hauwezi mwisho wake utalelewa ubaki kujifanya Mali yako kumbe kuna Behind ze cine ..mpende mpz kama unavyojipenda banaa...
sasa hii kidogo matata..ok guys Advice pls kwa hawa wenye ma problem..

1 comment:

Anonymous said...

yaan huyo jamaa ni kilaza wa mapenzi ile mbaya... na nimbinafsi kuliko maelezo...yy anaona mpnz wake anachupi moja badala ya kumsaprise kwa kumletea chupi za ukweli na nzuri yy anakuja kumtangaza kny mtandao...c ufwala huo!!! HAWA WANAUME NAFIKIRI WANAITAJI TRAINING KTKT SEKTA YA MALAVIDA...COZ MOST OF THEM NI ZIRO KBSA KNY UKANDA HUO!!!GRRRRRR!!!