Wadau mliopo ughaibuni nitakuwa nikiwapa mambo yenu adimu mliyoyamiss toka long time,
KIPEPE,MADENGE,LORDLOFA,NDUMILAKUWILI,DR LOVE PIMBI,MECHI ZA BORN TOWN NA BUSH STARS,NA WENGINEO :Wewe cha kufanya ni kuitembelea hii blog na kutoa maoni yako ,maoni yenu ndio yatanishawishi nizidi kuwapa mambo kutoka sehemu mbalimbali au sioooo?????kwanza mcheki MZEE LORDLOFA HAPO.
Imeandikwa na peter duwe
1 comment:
Ebwanee...wewe ndo mtu sasa. Usishangae watu hawakoment hawajui utam wa kazi yako. Endelea baba
Post a Comment