Saturday, September 25, 2010

LADY GAGA ATUPIA KINYAMA NYAMA! ....Drake akifanya kama anakula pande hivi! Mwanamuziki aliye juu na mwenye vibweka Lady Gaga AKA (Madonna part 2) alitupia vazi lililo-design-niwa kwa nyama ya ng'ombe katika tuzo za MTV Video Awards wiki iliyopita na aliondoka tuzo ya video bora kupitia track yake ya Bad Romance. Cheki mwana alivyotupia hapo Ups...chukulia kama angekutana na kundi la mbwa mwitu au simba...ingekua vp

LADY GAGA ATUPIA KINYAMA NYAMA!


....Drake akifanya kama anakula pande hivi!
Mwanamuziki aliye juu na mwenye vibweka Lady Gaga AKA (Madonna part 2) alitupia vazi lililo-design-niwa kwa nyama ya ng'ombe katika tuzo za MTV Video Awards wiki iliyopita na aliondoka tuzo ya video bora kupitia track yake ya Bad Romance. Cheki mwana alivyotupia hapo Ups...chukulia kama angekutana na kundi la mbwa mwitu au simba...ingekua vp

No comments: